Zifuatazo ni ishara za mwanamme au mwanamke anayekupenda hata kama hajakwambia
1. Anakua na aibuaibu unapokua na yeye
2. Anakuitaita bila sababu
3. Anakuangalia machoni sana
4. Anakua anafanya mambo tofauti unapokuepo na usipokuwepo
5. Anafurahi sana unapomsifia
6. Anakua kama anapata kigugumizi unapokua unaongea nae hasa mkiwa wenyewe
7. Anakusaidia mambo yako. mfano kazi
8. Anakumbuka siku zako za muhimu mfano Tarehe ya kuzaliwa.
9. Anakufanyia mambo tofauti na anavyowafanyia wengine.
10. Anabadilika muonekano wa nje. Mfano anaanza kujipenda, kuvaa vizuri
No comments:
Post a Comment