Thursday, June 27, 2019
NGUVU ZA KIUME
Ili ndoa yoyote iweze kudumu lazima pawepo amani,makubaliano na kuridhishana katika tendo la ndoa,zifuatazo ni njia rahisi za kuongeza nguvu za kiume kwa wanaume
1-MAZOEZI
Kufanya mazoezi mepesi kama kupiga pushup na kukimbia asubuh na jion husaidia kuongezea nguvu za kiume
2-MAJI
Unywaji wa maji mengi husaidia kuufanya mzunguko wa damu kuwa wa haraka na tunajua ili uume uweze kusimama vizuri lazima damu izunguke vizuri
3-PUMZIKO
mwanaume inatakiwa alale zaidi ya masaa 8 kwa siku ili kurudisha cell zinazokoa zimechoka na kufa hasa zilizopo katika uume
4-CHAKULA
Vyakula venye nguvu kama karanga,mihogo na ugali wa dona husaidia sana,vyakula kama chips vina high fat contect ambayo sio nzur kwenye mishipa ya damu pia mishipa ya uuume
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment