Mwanamke hupenda zaidi anachokisikia kuliko anachokiona na ndio maana wanawake wengi ni rahisi sana kudanganyika,Mwanamke anaweza akamuacha boyfriend wake na akaenda kwa mwanaume mwingine kisa tu kaahidiwa vitu fulani vya thamani.MWANAUME INAKUPASA UISHI KWA AKILI SANA NA MKE WAKO IKIWEMO HATA KUMPA AHADI ZA UONGO ILI ARIDHIKE
No comments:
Post a Comment